Hemed PHD afunguka kuhusu kupaka Poda na kuhusu Ndoa yake kubuma

Hemed PHD afunguka kuhusu kupaka Poda na kuhusu Ndoa yake kubuma

Udakuz

Member
Joined
Feb 4, 2013
Posts
85
Reaction score
51
Mahojiano ya Hemedy PHD kuhusu yeye Kupaka Poda, Ndoa yake aliyoahiadi kubuma na kwanini anapendwa sana wa Wadada
Angalia Video Hapa Chini:

Last edited by a moderator:
Mahojiano ya Hemedy PHD kuhusu yeye Kupaka Poda, Ndoa yake aliyoahiadi kubuma na kwanini anapendwa sana wa Wadada
Angalia Video Hapa Chini:

Hiyo PHD hapo kwenye jina lake inawekwa kwa makosa sana!!
 
Last edited by a moderator:
huyo ---- kila baada ya nusu SAA anapaka baby Johnson powder.mwaka Jana tulipanda wote ABC ya kuenda Dom,alikuwa anakera sana.yaani kila muda yeye na kajamaa kake wanapaka powder,wanaongea kwa sauti hili basi zima liwasikie.
 
Back
Top Bottom