Hemed PhD: Mimi siringi, hizi ni swaga tu

Hemed PhD: Mimi siringi, hizi ni swaga tu

Mpuuzi tu huyo, kuigiza kwenyewe hajui.Apeleke upuuzi wake kwa wajinga wenziwe wa bongomovie.
 
Hana mpango mshamba tu anakujaga hapa maskani moroko anashidwa kuwasalimia masela kipaji chenyewe ndiyo kwanza bado halafu eti anajita amita bachani huna hathi ya kujita amita bachani angalau ungejita dokta remmy ongala
 
Hamna kitu hapo halafu nimesikia hemedi joka la kisa wadau je ni kweli wakuu wangu
 
Hayo mengine sijui ila ni mmoja kati ya ya promosing actors kama akiacha kuoverdo make-ups na pamba kali......Too much accesories zinamfanya aonekane unreal ingawa kuna baadhi ya movies kama THE DREAM na FOR MY CHILD.....hata hii STELLA...Amejitahidi kwa kiwango kikubwa....akiigiza ni kama kuna uhalisia tofauti hata na THE GREATEST...
 
kuna aina nyingi za kupata umaarufu mojawapo ni ku act au kuongea kinyaa hadi kuwachefua watu in the process unakua maarufu ndo njia anayotumia huyu kijana.... kama humu jamvini kuna kina faiza foxy, le mutuz, ze marcopolo nk
 
Hamna kitu elimu yake kaishia tanga hapo tatizo la dogo bado kiwango ila anajiyona tayari mimi kuna demu aliniyambia akipiga golli moja kwisha ndiyo mwisho mechi mpaka kesho yake tena
 
Hii mada bado tu ya joka la kibisa ifuteni tena kuna mambo muhimu ya kuwongea mengine
 
Back
Top Bottom