Nimejaribu kufuatilia nyimbo kadhaa za Hemedi phd (mpemba) anajua kuimba na nyimbo zake karibia zote ni nzuri.
Jaribu na wewe kusikiliza nyimbo yake mpya hii na ujaribu kutoa maoni yako pia.
kuhusu kuimba kama burudani na kupenda inakaririwa kwamba Hemedi kashawahi kunukuliwa akisema yeye anaimba kwasababu anapenda muziki, hata ukifuatilia maisha yake ya muziki hajawahi kufanya show kama wanazofanya wasanii wenzake