Hemed Phd (naimba kwa burudani tu sio biashara)

Hemed Phd (naimba kwa burudani tu sio biashara)

Isack inno B

Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
97
Reaction score
51
Nimejaribu kufuatilia nyimbo kadhaa za Hemedi phd (mpemba) anajua kuimba na nyimbo zake karibia zote ni nzuri.

Jaribu na wewe kusikiliza nyimbo yake mpya hii na ujaribu kutoa maoni yako pia.

kuhusu kuimba kama burudani na kupenda inakaririwa kwamba Hemedi kashawahi kunukuliwa akisema yeye anaimba kwasababu anapenda muziki, hata ukifuatilia maisha yake ya muziki hajawahi kufanya show kama wanazofanya wasanii wenzake

 
Nani ampe show hata kupafom hawezi, kwanza alisema hyo kauli kwa kujua ukweli kwamba hana uwezo wa mziki ila ana hela ya kurekod na kushutia video
 
Mi simkubali wala nini

Ila akiwa kwenye bongo movie zake namkubali
 
Back
Top Bottom