Hemed PHD: Napenda wanawake waliofungashia haswaa

Cha kazi gani kiwanja au nyumba? Sisi ni wapangishaji unadhani hao wapuuzi wakijenga sisi tutapata wapi wapangaji wenye misifa? Acha kuhamasisha umasikini kwetu sisi wenye nyumba [emoji5][emoji5][emoji5][emoji5]
 
yuko sahihi kuelezea hisia zake pia hii nchi ni ya kikatiba kila mtu ana uhuru wa kujielezea. miki pia napenda sana inye kubwa..
 
Hahaha labda Enzi za mababu sio kizazi hiki kama wewe hupewi na wako Kuna wengine anawapa cha msingi ishi kwa akili za kutosha na mwanamke yoyote............ [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] heeee



Hasa wanawake wa mjini humu wachache... Wako Salama .. Yaani km Ukiona wake wengi za watu na wapenzi za watu wanachofanywa usingetamani kuandika hayo uliyoandika hapo juu.. Tembea uyaone mambo huku mtaani... By the way Safi sana kwa hiyo mistari uliyeandika....... Upo sahihi.tu ila kwa mm haijanibadilisha akili hata tone uumejifurahisha Tu..........
 
mbona tunaambiwa huku mitaani kuwa jamaa anamiliki gorofa hapo tanga?
 
Mulhat sitaki kuamini kama wewe pia ni aina ya watu wanaoweza kukataa facts tu kwa sababu ya hisia.

Anyway sijataka nikubadilishe,;usipende kujumuisha watu wote kwenye mambo, kama mwanamke mmoja mwenye mkia anatoa tigo basi sio conclusive jua wanawake wote wenye mikia wanatoa hiyo kiti.

Vile vila sio kila mwanaume anapenda kupitia mlango wa nyuma, usipende kujumuisha watu wote kisa tu kafanya mtu mmoja,je ni sawa kusema waislam wote ni magaidi kisa osama alifanya ugaidi na ni muislam?
 
Me napenda mikia ila cpend mtandao pendwa na nme kula mikia mingi tu na hawapendi huo mchezo mchafu
 
Teh teh teh ameongea kwa unyenyekevu kama ndugu Kipozeo.
 
Na hiki ndicho kinachomfanya asisogee, otherwise kama hapendi kujionyesha japo kisanaa tungemsikia na kumuona kimataifa
 

Mambo ya kujenga nyumba waachie shirika la nyumba la Taifa (NHC) na Mchechu hapa mjini ni kula mizigo mwanzo mwisho.
 
Mambo ya kujenga nyumba waachie shirika la nyumba la Taifa (NHC) na Mchechu hapa mjini ni kula mizigo mwanzo mwisho.
Ahaa!! nimkupata mkuu ww nyumba yako ni ile moja tu yakujengewa na majirani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…