kilimbamula
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 1,792
- 853
Cha kazi gani kiwanja au nyumba? Sisi ni wapangishaji unadhani hao wapuuzi wakijenga sisi tutapata wapi wapangaji wenye misifa? Acha kuhamasisha umasikini kwetu sisi wenye nyumba [emoji5][emoji5][emoji5][emoji5]Huyu jamaa ye ninkujisifu tu kihusu wanawake hana maendeleo yoyote makubwa kama bàadhi ya wasanii wenzake ye anapenda misifa tu kwao tanga ukipaona utafikiri si kwa wazazi wa star ye wanawake tu sijui kama hata ana kiwanja au kijibanda japo cha vyumba viwili