Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla, ametoa onyo kali kwa baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wenye tabia ya kuwachafua wenzao kisiasa, akisisitiza kuwa viongozi wa aina hiyo hawastahili kupewa nafasi ndani ya chama.
Video: ZANZIBAR YETU (YouTube)