Kibwebwe
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 826
- 261
Baada ya kupata ajali ya gari jana alipokuwa akimrudisha rafiki yake Gelly wa rhymes (Mwanamuziki wa bongofleva) nyumbani kupitia ukurasa wake wa mtandao kijamii mwigizaji na mwanamuziki Hemedy Suleiman amesema kuwa anamshukuru Mungu kwa kuwa anaendelea vizuri licha ya ajali iliyomkuta.
Akiandika Hemedy amesema
"NAMSHUKURU MUNGU NAENDELEA VIZURI LICHA YA AJALI MBAYA ILIYONIKUTA..Ahsante kwa dua zenu..KIFUA TU NDIO KIMEUMIA SANA NA MKONO..."
Tunafanya mawasiliano zaidi na Hemedi kwa taarifa zaidi za chanzo cha ajali hiyo na tutawajulisha zitakapo kuwa teyari.
Picha: gari alilopata nalo ajali Hemed
https://www.jamiiforums.com/attahtt...nt.php?attachmentid=108970&stc=1&d=1377436058
chanzo bongomovie.com