Hemedy azungumza baada ya Ajali aliyoipata jana, hichi ndicho alichokisema

Hemedy azungumza baada ya Ajali aliyoipata jana, hichi ndicho alichokisema

Kibwebwe

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2012
Posts
826
Reaction score
261
Baada ya kupata ajali ya gari jana alipokuwa akimrudisha rafiki yake Gelly wa rhymes (Mwanamuziki wa bongofleva) nyumbani kupitia ukurasa wake wa mtandao kijamii mwigizaji na mwanamuziki Hemedy Suleiman amesema kuwa anamshukuru Mungu kwa kuwa anaendelea vizuri licha ya ajali iliyomkuta.

Akiandika Hemedy amesema

"NAMSHUKURU MUNGU NAENDELEA VIZURI LICHA YA AJALI MBAYA ILIYONIKUTA..Ahsante kwa dua zenu..KIFUA TU NDIO KIMEUMIA SANA NA MKONO..."

Tunafanya mawasiliano zaidi na Hemedi kwa taarifa zaidi za chanzo cha ajali hiyo na tutawajulisha zitakapo kuwa teyari.

Picha: gari alilopata nalo ajali Hemed
https://www.jamiiforums.com/attahtt...nt.php?attachmentid=108970&stc=1&d=1377436058

chanzo bongomovie.com
 
Attachments

  • ajali.JPG
    ajali.JPG
    28.5 KB · Views: 806
  • hemedi.JPG
    hemedi.JPG
    41.4 KB · Views: 800
Duuuh...!! mbona hiyo gar kama ile ya Mr.bean kwenye movie zake?.
kumbe sanaa bongo bado haiwalipi hawa.
 
Naskia alikuwa anapaka wanja wakati anapata ajali!
Mhhhhhh! Udada huu balaa
 
mpuuzi huyo,...anauza sura hadi wodini...!!!
 
Hivi kuna tofauti gani kati ya hilo gari na kibajaji?Anyway hongera aisee pamoja na ajali yote hiyo still umekumbuka kupaka mapouda
 
Ni Mrembo kwa Kweli ukitoa hizo ndevu tuu ,
Baada ya kupata ajali ya gari jana alipokuwa akimrudisha rafiki yake Gelly wa rhymes (Mwanamuziki wa bongofleva) nyumbani kupitia ukurasa wake wa mtandao kijamii mwigizaji na mwanamuziki Hemedy Suleiman amesema kuwa anamshukuru Mungu kwa kuwa anaendelea vizuri licha ya ajali iliyomkuta.

Akiandika Hemedy amesema

"NAMSHUKURU MUNGU NAENDELEA VIZURI LICHA YA AJALI MBAYA ILIYONIKUTA..Ahsante kwa dua zenu..KIFUA TU NDIO KIMEUMIA SANA NA MKONO..."

Tunafanya mawasiliano zaidi na Hemedi kwa taarifa zaidi za chanzo cha ajali hiyo na tutawajulisha zitakapo kuwa teyari.

Picha: gari alilopata nalo ajali Hemed
https://www.jamiiforums.com/attahtt...nt.php?attachmentid=108970&stc=1&d=1377436058

chanzo bongomovie.com
 
Funcargo,poda,helen,urembo n.k,na kadhalika,n.k
Duh umaarufu nao una shida!!
 
the man is doin fine na kesho ni birthday yake inshaallah...
 
Back
Top Bottom