Henock Inonga Baka ameondoka Simba SC

Bora inonga aondoke kabisa hao ndio walio uza Simba sc kwa yanga..mechi ya kwanza kala mzigo acheza chini ya kiwango,mara ya pili dk ya 7 kasingizia ameumia akatoka
Wewe kama sio Mangungu basi ni shabiki maandazi. Yaani unayakwepa matatizo ya msingi ya simba na unamtwisha lawama mchezaji bora wa timu.
Kumpata beki kama Inonga sio kazi rahisi na wasipoangalia msimu ujao hata top four itakuwa ndoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…