Henock Inonga Baka ameondoka Simba SC

Msimu huu Simba itapitia magumu zaidi ya ulio isha unless itokee wachezaji wapya wa click mapema
Kwa mimi naona wanafanya sawa. Wacha wajenge timu nyingine. Ni kweli itawachukua muda kukaa sawa ila.ni vyema waanze upya. Kujisahihisha na kuanza upya kwenye maisha sio kitu kibaya.
 
Bora muuza match kasepa, wakongo man ban siyo watu wa kuwaamini sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…