Lamzettttt
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 1,218
- 3,481
Anaakaba kwa akili sana hivi tumfananishe na nani aliwah pita pale MsimbaziNi mtu sana ila namuona kama liability any time anaweza kula umeme. Jamaa dume kuna moja leo ametap mpira wa hatari sana huyu anampa babu Oyango ahueni
Yanga tunajua mnaumia chamsingi msisahau kuwasindikiza wageniLeo utaona kila mchezaji lulu. Haya hamia kwa Kanoute. Tunangoja thread.
Kama ulimuona OCD Deo Njohole ndio mchezo wake ama Frank Kasanga Bwalya.Anaakaba kwa akili sana hivi tumfananishe na nani aliwah pita pale Msimbazi
Sent from my FTE171A using JamiiForums mobile app
Tushawasindikiza.Yanga tunajua mnaumia chamsingi msisahau kuwasindikiza wageni
Sent from my FTE171A using JamiiForums mobile app
Miaka hiyo ya 90`s sijabahatika kumuonaKama ulimuona OCD Deo Njohole ndio mchezo wake ama Frank Kasanga Bwalya.
Kanoute Hamna kituLeo utaona kila mchezaji lulu. Haya hamia kwa Kanoute. Tunangoja thread.
Ile tackling hata mm ilinishtua sana!!!Ni mtu sana ila namuona kama liability any time anaweza kula umeme. Jamaa dume kuna moja leo ametap mpira wa hatari sana huyu anampa babu Oyango ahueni
Mbumbumbu hawapo Jangwanimutu ya kazi
subiri matusi ya wale watu wasio na akili pale jangwani