3ZOV
JF-Expert Member
- Dec 28, 2020
- 6,259
- 7,015
sawa kisinda uliechangamkaMbumbumbu hawapo Jangwani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawa kisinda uliechangamkaMbumbumbu hawapo Jangwani
Unazungumzia wale washamba..! Akina Zero Zeromutu ya kazi
subiri matusi ya wale watu wasio na akili pale jangwani
George magere masatuAnaakaba kwa akili sana hivi tumfananishe na nani aliwah pita pale Msimbazi
Sent from my FTE171A using JamiiForums mobile app
Katika beki ya Simba huyu ndo mchezaji mwenye akili ndogo kuliko wote.Anaakaba kwa akili sana hivi tumfananishe na nani aliwah pita pale Msimbazi
Sent from my FTE171A using JamiiForums mobile app
Watatutajia jina letu kabla ya sandalend tulikuwa tunaitwa nani, miaka ya mtemi Mirambo analeta utemi wake tabora pale.Wawa ndio kwaheri tena,mwakani wawa out mugalu out,kagere out,Adebayo in,moses phiri in na beki moja matata
nasubiri ya Herieth Makambo mzee wa kuwajazaMimi Nasubiri Thread Ya Kibu D
Okwi Boban Sunzu anaiandaaMimi Nasubiri Thread Ya Kibu D
Katika washabiki wanaoongoza kwa unafiki na umbumbumbu ni hawa wa Simba,juzi kati tuu hapa walikuwa wanasema kuwa hawamtaki na hana lolote anacheza tuu na jukwaa leo hii kaanzishiwa thread ya kumsifia.Katika beki ya Simba huyu ndo mchezaji mwenye akili ndogo kuliko wote.
Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
Aaaah bana weKatika beki ya Simba huyu ndo mchezaji mwenye akili ndogo kuliko wote.
Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
Hapana sisi hatupendi unafki ukizingua tunasema unaznguaKatika washabiki wanaoongoza kwa unafiki na umbumbumbu ni hawa wa Simba,juzi kati tuu hapa walikuwa wanasema kuwa hawamtaki na hana lolote anacheza tuu na jukwaa leo hii kaanzishiwa thread ya kumsifia.
From another planetHenock inonga baka (varane) (electrical fence) ni sawa na
Abdul shaibu 19
Bakari Nondo Mamunye to 10
Kibwana shomali 40
Shaban djuma 19
Na ni 98℅ ya Raphael Varane mwenyewe alichomzidi huyu ni pesa tu.
View attachment 2149334
Sent from my FTE171A using JamiiForums mobile app
New member umetoka facebook kutuletea huku haya maujinga.Hapana sisi hatupendi unafki ukizingua tunasema unazngua
Ukifanya tunasema unaweza
Sent from my FTE171A using JamiiForums mobile app
Haha we ulizaliwa huku kwani?New member umetoka facebook kutuletea huku haya maujinga.
[emoji1787][emoji23]Kuna tackling moja aliifanya nikaona ile imevuka levo ya TAKOling ni BOROling kabisa.
Mwakani mbali. Sema dirisha la usajili likifunguliwa tu na wao wamo. Wanasajiliwa siku hiyo hiyo na kuanza kucheza siku hiyo hiyo[emoji16]Wawa ndio kwaheri tena,mwakani wawa out mugalu out,kagere out,Adebayo in,moses phiri in na beki moja matata