Henock Inonga Baka (Varane) |Special Thread

Wawa ndio kwaheri tena,mwakani wawa out mugalu out,kagere out,Adebayo in,moses phiri in na beki moja matata
Watatutajia jina letu kabla ya sandalend tulikuwa tunaitwa nani, miaka ya mtemi Mirambo analeta utemi wake tabora pale.
 
Ukiwa na maumivu ya Kichwa,homa tazama mpira anaocheza Varane kichwa kitapoa na utapona moja kwa moja.
 
Katika beki ya Simba huyu ndo mchezaji mwenye akili ndogo kuliko wote.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
Katika washabiki wanaoongoza kwa unafiki na umbumbumbu ni hawa wa Simba,juzi kati tuu hapa walikuwa wanasema kuwa hawamtaki na hana lolote anacheza tuu na jukwaa leo hii kaanzishiwa thread ya kumsifia.
 
Hapana sisi hatupendi unafki ukizingua tunasema unazngua
Ukifanya tunasema unaweza

Sent from my FTE171A using JamiiForums mobile app
 
Wawa ndio kwaheri tena,mwakani wawa out mugalu out,kagere out,Adebayo in,moses phiri in na beki moja matata
Mwakani mbali. Sema dirisha la usajili likifunguliwa tu na wao wamo. Wanasajiliwa siku hiyo hiyo na kuanza kucheza siku hiyo hiyo[emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…