TANZIA Henry Kissinger, Mwanadiplomasia mashuhuri zaidi wa Marekani afariki akiwa na umri wa miaka 100

Nimemsoma huyu kwenye bio za JKN walizoandika akina Shivji anatajwa mara kadhaa wakati Mwalimu anaposhughulikia suala la Rhodesia
 
Ibilisi , spy aliyehusika kutengeza foreign policy ya USA ambayo ilizalisha vita za kivamizi zilizosababisha mauaji ya watu wengi na mapinduzi na vita vya wenyewe kwa wenyewe nchi nyingi
Satanist WA Kizayuni
 
Kwake huyo ndugu kila amuonapo mzungu anaweweseka na kumuona ni adui yake.
Ungekuwa na akili timamu ungefanya research binafsi na kumfuatilia na kumuua Henry Kissinger ni nani ,na involvement yake kwenye foreign policy ya Marekani ambayo ndio inaamua involvement ya Marekani kwenye vita na mapinduzi na hujuma mbali mbali kwa mataifa yanayopingana na USA policies .
Tumia hata Google ,kila kitu kiko kwenye kiganja chako
Fool
 
Wapumbav ni wengi humu mkuu ,inashangaza kuona level hii ya ujinga
 
Peace ya nioko , vita ya Indonesia ambayo ilikuwa na involvement ya Marekani iliua watu zaidi ya milioni moja , vita ya Vietnam , Korean war , uvamizi wa Afghanistan na vita , Iraq , Libya ,Somalia , kusupport mauaji yaliyokuwa yanafanywa na madikteta wa Amerika ya kusini dhidi ya raia wenye malengo ya kicommunist , majitu murderous dictators kama Pinochet ,huyu mshenzi aliuwa mamilioni ya watu Chile , watu wengi waliuawa
Kasome " operation Condor " na unyama ulifanyika humo ,huyo Ibilisi Kissinger ndio alikuwa master mind kwenye hizo ,should I go on ?...


Na hapo sijaweka mapinduzi na vita nchi kama Laos ,Cambodia , Yugoslavia nk the list is endless
 
Ana damu nyingi sana ya Wavyetnam, Cambodia na Walaos wasio na hatia
Huyo Ibilisi kuna vita ya wenyewe kwa wenyewe Indonesia ,ilikuwa na involvement ya CIA , walipawapa silaha na pesa regime ya kidikteta wakaanza mauaji ya kimbari dhidi ya communist Indonesians na pamoja na kujua kwamba Genocide inaendelea bado wakawa wanatuma silaha na pesa na kusaidia intelligence kuua watu , hii vita hawaiongelei kabisa , cover up ya kuficha historia ya uovu wa serikali ya Marekani
Criminals and blood suckers
 
Siyo kila unayemuita au kudhani ni adui yako kwamba ni muhimu na lazima kwangu awe hivyo.Jifunze kujifunza kwa bidii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…