TANZIA Henry Kissinger, Mwanadiplomasia mashuhuri zaidi wa Marekani afariki akiwa na umri wa miaka 100

TANZIA Henry Kissinger, Mwanadiplomasia mashuhuri zaidi wa Marekani afariki akiwa na umri wa miaka 100

Kweli kuna watu wanaishi humu duniani,niliwahi kumsikia huyu mwamba nikiwa mtoto sana hata primary sijamaliza,sasa nimeezeeka na yeye kumbe alikuwa bado yuko hai...
Mimi nilianza kumsikia hata Vidudu sijaanza...mwaka 1980/81 Kun Dume la Ng'ombe lilizaliwa Baba akamuitq Henry Kissinger! Jina lilikuwa maarufu sana ! Unfortunately Dume hakuishi sana ! Ila mama yake Aliishi miaka karibu 13 hadi nikiwa form tu ...na alizoeleka Kwa jina la Mama Kissinger,hata akiwa mbali unamuita tu mama Kissinger njoo ,anakuja! Ilikuwa unataka kumkamia masiwa unamuita anakaja Kwa adabu Kabisa ! RIP Kissinger's!
 
Back
Top Bottom