Asante my diaDina happy birthday mrembo
AsanteeeNilitegemea wakwanza kuzitoa Hizi Pongezi awe ni yule jamaa wa Baby baby nyingiii...
Anyway
Happy born day Dinazarde
AsanteeeeHeri ya kuzaliwa Dina.
19 tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aje na kusema anatimiza miaka mingapi.
Asante jemba mwenzanguHBD jikedume
Asantehbd dina
vip bado upo NYEGEzi au umehama ??_
AsanteeHeri ya kuzaliwa Dina
Ulifaulu kiswahili eeee,,asante mkuuAisee hili swali linaweza kuwa na majibu mengi.
1. Yawezekana ni ID yangu mwenyewe kwa jina lingine.
2. Namfahamu personaly.
3. Ni rafiki yangu wa JF hivyo ameniambia nikiwa kama rafiki yake.
4. Yawezekana sifahamiani naye hata ila Katika JF kuna sehemu ya kujaza siku yako ya kuzaliwa, so kama profile ni public unaweza iona.
Moja kati ya hayo majibh hapo juu ni jibu sahihi.
Umesoma kilometa za kutosha19 tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umesoma kilometa za kutosha
Aisee hili swali linaweza kuwa na majibu mengi.
1. Yawezekana ni ID yangu mwenyewe kwa jina lingine.
2. Namfahamu personaly.
3. Ni rafiki yangu wa JF hivyo ameniambia nikiwa kama rafiki yake.
4. Yawezekana sifahamiani naye hata ila Katika JF kuna sehemu ya kujaza siku yako ya kuzaliwa, so kama profile ni public unaweza iona.
Moja kati ya hayo majibh hapo juu ni jibu sahihi.
mwanamke tena bonge la demuni she or he?
HBD binamuAsanteee
Cc Nyani Ngabu
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]19 tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]