Hepi bathdei to Dinazarde

Hepi bathdei to Dinazarde

Aisee hili swali linaweza kuwa na majibu mengi.

1. Yawezekana ni ID yangu mwenyewe kwa jina lingine.
2. Namfahamu personaly.
3. Ni rafiki yangu wa JF hivyo ameniambia nikiwa kama rafiki yake.
4. Yawezekana sifahamiani naye hata ila Katika JF kuna sehemu ya kujaza siku yako ya kuzaliwa, so kama profile ni public unaweza iona.

Moja kati ya hayo majibh hapo juu ni jibu sahihi.
Ulifaulu kiswahili eeee,,asante mkuu
 
Mkuu mbona kama unakwepa swali kiaina? we ndo ilibidi uchague kati ya hizo options afu umjibu jamaa jibu moja straight
 
Back
Top Bottom