UwiiiiiiiHahahahhaa, usitake PM ya mtoto wetu ianze kufurika na kushindwa kupumua. Hebu waepushe wakware na miaka 30 ya Magu.
Shemeji yako kwa nani?Happy birthday shemeji
Niwaalike wana MMU wooooote kumtakia heri ya kuzaliwa binti/mama dinazarde.
Mimi nasindikiza wishes zangu na beti hii moja ya shairi kama ifuatavyo.
Leo unaikumbuka, sikuyo ya kuzaliwa,
Ni siku yenye Baraka, furaha tele kujawa,
Furaha iso pimika, heri zangu kuzitowa,
Heri kwako dinazarde, sikuyo ya kuzaliwa.
Akikujibu nistue[emoji101]Shemeji yako kwa nani?
Akikujibu nistue[emoji101]
Ndio nipo nasubiria majibu hapa niweke mambo sawaAkikujibu nistue[emoji101]
Shikamoo kaka!Leo nilitaka nikutumie PM mambo yetu ya kifamilia ila nikaogopa asije ikawa inatumiwa na my wii.Wanakuita Muree..
Wake yule mtoto pekee...
Vipi niache ama niendelee...?
Shikamoo kaka!Leo nilitaka nikutumie PM mambo yetu ya kifamilia ila nikaogopa asije ikawa inatumiwa na my wii.
Mmh mbona sauti imekua mbaya hivoWanakuita Muree..
Wake yule mtoto pekee...
Vipi niache ama niendelee...?
atuambie huyu mtoa mada amejuaje leo siku ya kuzaliwa kwakeUmejuaje kama Leo ni birthday yake?
Mmh mbona sauti imekua mbaya hivo
Inafanyikia hapa home uje ule kekiOh yeah...leo ndo siku yako ya kuzaliwa?
Sherehe iko wapi?
Hongera kwa kuongeza mwaka mwingine hapa duniani.
Wifi yupi huyo?Shikamoo kaka!Leo nilitaka nikutumie PM mambo yetu ya kifamilia ila nikaogopa asije ikawa inatumiwa na my wii.
Isije ikawa anajipepelea apewe papuchiatuambie huyu mtoa mada amejuaje leo siku ya kuzaliwa kwake
asijekua yeye mwenyewe anajijibu kwa multiple idIsije ikawa anajipepelea apewe papuchi
Hehehe umetisha Mkuuasijekua yeye mwenyewe anajijibu kwa multiple id
Nawe pia kaka yanguMarhabaaa.
Kheri ya mwaka mpya!