Hepi bathdei to Dinazarde

Hepi bathdei to Dinazarde

Oh yeah...leo ndo siku yako ya kuzaliwa?

Sherehe iko wapi?

Hongera kwa kuongeza mwaka mwingine hapa duniani.
 
Niwaalike wana MMU wooooote kumtakia heri ya kuzaliwa binti/mama dinazarde.

Mimi nasindikiza wishes zangu na beti hii moja ya shairi kama ifuatavyo.

Leo unaikumbuka, sikuyo ya kuzaliwa,
Ni siku yenye Baraka, furaha tele kujawa,
Furaha iso pimika, heri zangu kuzitowa,
Heri kwako dinazarde, sikuyo ya kuzaliwa.

Hivi mpaka sasa hakuna aliyesema kuwa wewe ndo mimi?

Maajabu ya kufungia mwaka haya!
 
Back
Top Bottom