Here I come on JF BabyDiana

Here I come on JF BabyDiana

BabyDiana

Member
Joined
Apr 11, 2014
Posts
8
Reaction score
1
Ndugu wana JF after a long wait BabyDiana is in now. Hope mtanipokea na tutakwenda sawa kwa hoja zenye mashiko na jokes za hapa na pale.
 
Ndugu wana JF after a long wait BabyDiana is in now. Hope mtanipokea na tutakwenda sawa kwa hoja zenye mashiko na jokes za hapa na pale.
hellow BabyDiana,

karibu sana JF , naitwa Excel.

kuwa huru kusema chochote ndani ya JF bila kuvunja sheria.

This is the home of Great Thinkers. So you are too!

karibu nyumbani...
 
Last edited by a moderator:
Jamani nawashukuru sana kwa kunikaribisha Excel asante sana kwa kunipenda. Watu8, Mbeya yetu, Buru58, Ulimakafu,andybird314, Globu, Theodore Bangwell tuko pamoja.
 
Back
Top Bottom