Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
The Serengeti The real World Lion King narrated by Lupita Nyongo
The Serengeti:The real World Lion King narrated by Will Smith loading...
Kizungu ndio shida yako. Hio inamaana kuwa Serengeti ndiyo lion king ya kidunia bali sio animation kama ile movie.
Ni kama mimi kusema Geza Ulole is the real Johnny Bravo. Unajua Johnny Bravo ni cartoon mjinga mjinga hivi hana akili anapenda majigambo lakini anachapwa hata na wanawake, ni kitu sawia na hiyo maana wewe una tabia za Johnny Bravo.