Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Diamond anafanya show za nje kwa milion 6 za ki tz kabsaaa..ushahidi upo...rejea makubaliano na yule promota mnaijeria kwenye ile show ujeruman iliyoleta balaa...alilipwa tatu zikabak 3...na ndizo zilileta balaa...sa cjui mmeshasahau?
40,000$? napita tu
Hivi euro 3250 na sh ngap vle kw ela za madafu?tuache masifa ya kujinga...na hapo ni mwaka jana mwishoni...km ni balance bac haizid 14million aliyolipwa
Dash huyu jamaa ni tajiri sana nimeskia ana investment nyingi
Diemond motaz
Diemond B@no
Diemond futbol club
Diemond sound band
Diemond plaza..
He's serious when it comes making mane.
Hivi euro 3250 na sh ngap vle kw ela za madafu?tuache masifa ya kujinga...na hapo ni mwaka jana mwishoni...km ni balance bac haizid 14million aliyolipwa
umesahau na diamond jubileeDash huyu jamaa ni tajiri sana nimeskia ana investment nyingi
Diemond motaz
Diemond B@no
Diemond futbol club
Diemond sound band
Diemond plaza..
He's serious when it comes making mane.
Hivi unaweza kunieleza umetumia formula or logic ipi ku-conclude ikiwa balance ilikuwa Euro 3250 basi total pay haikuzidi 14 million? By the way, nini kimekufanya uiamini habari ya kulipwa balance ya Euro 3250 na usiiamini habari ya kwamba pay yake ni $40K? Is any of those news authenticated?Hivi euro 3250 na sh ngap vle kw ela za madafu?tuache masifa ya kujinga...na hapo ni mwaka jana mwishoni...km ni balance bac haizid 14million aliyolipwa