Here is the man who understands women

MWANAUME ANAHITAJI:

1. Kupikiwa
2. Unyumba
3. Kupumzika

MWANAMKE ANAHITAJI MWANAUME WAKE UWE:-
1. Mpenzi
2. Rafiki
3. Mshikaji
4. Kaka
5. Baba
6. Mwalimu
7. Bosi
8. Mpiganaji
9. Askari
10. Mlinzi
11. Mpishi
12. Fundi umeme
13. Fundi bomba
14. Mchungaji
15. Mzee wa kanisa
16. Shehe
17. Daktari
18. Mpambaji
19. Mwana mitindo
20. Modo
21. Mnyanyua vyuma
22. Fundi magari
23. Mwanasheria
24. Mhasibu
25. Fundi seremala
26. Mcheshi
27. Mwanamuziki
28. Muigizaji
29. Shamba boi
30. Fundi ujenzi
31. Msafi
32. Unajali
33. Mzazi
34. Mlezi
35. Mvumilivu
36. Mjanja
37. Mpole
38. Mkarimu
39. Msikivu
40. Mtunza siri
41. Mkweli
42. Kiongozi
43. Tajiri
44. Mpangaji
45. Mwana Michezo
46. Mtundu
47. Tegemeo
48. Jasiri
49. Mthubutu
50. Shupavu
51. Mwerevu
52. Muungwana

HAPO HAPO UNATAKIWA:- 53. Uwe Fundi kitandani.
54. Uwe unamtoa outing.
55. Uwe unampa pesa za kutosha.
56. Usimsumbue sumbue.
57. Usiangalie wanawake wengine.

HALAFU KUNA:- 58. Kumnunulia vizawadi zawadi hapa na pale.
59. Kumsifia alivyoumbika.
60. Kumsifia alivyopendeza.
61. Kumfungulia mlango, kumshikia pochi.

PIA USISAHAU:- 62. Siku yake ya kuzaliwa.
63. Kumbukumbu ya ndoa.
64. Siku ya valentine.

MUHIMU SANA, KUWA MAKINI:- 65. Jifunze kutoulizia chenji ukimpa pesa ya shopping.
66. Usipende kubishana katika kila kitu

Duh shikamoo wanawake ee

[HASHTAG]#hapa[/HASHTAG] kazi tu#
 
Paprika bhana eti "if you give her any crap, be ready to receive a ton of sh.it" hii kali kwakweli
 
mmmmh sio wanaawake hawo wa magu eti umpe nyumba duuuh

ukienda ukirudi kila kitu kimebadilishwa na ukiuliza unashtakiwa eti ustawi saa sijui wanastawisha nn uko
 
Mnatiana kichaa tu tena wapagani kwa wapagani....ila k. Unadininutajua nani ni mwanaume na nani ni mwanamke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…