Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio mamangu!Nimebadirisha!!! Inaonekana vizuri saivi?
Huu ujumbe mzito na mkubwa sana...sijui wanaume watauelewa mungu wangu!!!! !!View attachment 479634
I find this to be true!
Mwanaume ni mwanaume hata aweje atabki kuwa mwanaume..... Problems with us women ni too much expectationsMnatiana kichaa tu tena wapagani kwa wapagani....ila k. Unadininutajua nani ni mwanaume na nani ni mwanamke
Hahahahahahahahahahahaha,hata papuchi hutopew siku hiyoIf you give her Jero, be ready to receive misonyo😀
Wewe hebu acha kuanza kupata akili za kiume hapa...Mwanaume ni mwanaume hata aweje atabki kuwa mwanaume..... Problems with us women ni too much expectations
Tafuta miwani ya juaMpenzi Put full image iliotapakaa iwe rahisi kusomeka
Lens mbinuko au mbonyeo!!!!??? Halafu Leo huku ni mvua tu jua hakuna kabisaTafuta miwani ya jua
Kwani ww umebinuka sentimita ngap?!Lens mbinuko au mbonyeo!!!!??? Halafu Leo huku ni mvua tu jua hakuna kabisa