Here is the man who understands women

Here is the man who understands women

Pia vile vile if you give her a flattery compliments for her half naked dressing, she will give you more exhibitions of that crapy hedonism.

Or if you are fooling her technically, she'll dunk in more foolishness.
 
Alafu ww ni new entrance humu JF ila nimemaizi akili yako ni pana kulinganisha na mabidada wengine humu ....unajua namna ya kujibu hoja na kuleta mada kip it up
 
Huyo Wiliiam Golding hajawahi kudumu na mwanamke hata mara moja...

Maisha yake yote alikuwa mpweke tu na kudanda hapa na pale...


No one can understand a woman and be good to her all times...women undergo mensuration cycle every months its their nature to be act they way they do...
 
If you give her sperm she give you a baby.
Imekaa [emoji108]
 
MWANAUME ANAHITAJI:

1. Kupikiwa
2. Unyumba
3. Kupumzika

MWANAMKE ANAHITAJI MWANAUME WAKE UWE:-
1. Mpenzi
2. Rafiki
3. Mshikaji
4. Kaka
5. Baba
6. Mwalimu
7. Bosi
8. Mpiganaji
9. Askari
10. Mlinzi
11. Mpishi
12. Fundi umeme
13. Fundi bomba
14. Mchungaji
15. Mzee wa kanisa
16. Shehe
17. Daktari
18. Mpambaji
19. Mwana mitindo
20. Modo
21. Mnyanyua vyuma
22. Fundi magari
23. Mwanasheria
24. Mhasibu
25. Fundi seremala
26. Mcheshi
27. Mwanamuziki
28. Muigizaji
29. Shamba boi
30. Fundi ujenzi
31. Msafi
32. Unajali
33. Mzazi
34. Mlezi
35. Mvumilivu
36. Mjanja
37. Mpole
38. Mkarimu
39. Msikivu
40. Mtunza siri
41. Mkweli
42. Kiongozi
43. Tajiri
44. Mpangaji
45. Mwana Michezo
46. Mtundu
47. Tegemeo
48. Jasiri
49. Mthubutu
50. Shupavu
51. Mwerevu
52. Muungwana

HAPO HAPO UNATAKIWA:- 53. Uwe Fundi kitandani.
54. Uwe unamtoa outing.
55. Uwe unampa pesa za kutosha.
56. Usimsumbue sumbue.
57. Usiangalie wanawake wengine.

HALAFU KUNA:- 58. Kumnunulia vizawadi zawadi hapa na pale.
59. Kumsifia alivyoumbika.
60. Kumsifia alivyopendeza.
61. Kumfungulia mlango, kumshikia pochi.

PIA USISAHAU:- 62. Siku yake ya kuzaliwa.
63. Kumbukumbu ya ndoa.
64. Siku ya valentine.

MUHIMU SANA, KUWA MAKINI:- 65. Jifunze kutoulizia chenji ukimpa pesa ya shopping.
66. Usipende kubishana katika kila kitu

Duh shikamoo wanawake ee

[HASHTAG]#hapa[/HASHTAG] kazi tu#
ngoja ki"copy nikamuulize miss chagga je ni kweli..!!!
 
MWANAUME ANAHITAJI:

1. Kupikiwa
2. Unyumba
3. Kupumzika

MWANAMKE ANAHITAJI MWANAUME WAKE UWE:-
1. Mpenzi
2. Rafiki
3. Mshikaji
4. Kaka
5. Baba
6. Mwalimu
7. Bosi
8. Mpiganaji
9. Askari
10. Mlinzi
11. Mpishi
12. Fundi umeme
13. Fundi bomba
14. Mchungaji
15. Mzee wa kanisa
16. Shehe
17. Daktari
18. Mpambaji
19. Mwana mitindo
20. Modo
21. Mnyanyua vyuma
22. Fundi magari
23. Mwanasheria
24. Mhasibu
25. Fundi seremala
26. Mcheshi
27. Mwanamuziki
28. Muigizaji
29. Shamba boi
30. Fundi ujenzi
31. Msafi
32. Unajali
33. Mzazi
34. Mlezi
35. Mvumilivu
36. Mjanja
37. Mpole
38. Mkarimu
39. Msikivu
40. Mtunza siri
41. Mkweli
42. Kiongozi
43. Tajiri
44. Mpangaji
45. Mwana Michezo
46. Mtundu
47. Tegemeo
48. Jasiri
49. Mthubutu
50. Shupavu
51. Mwerevu
52. Muungwana

HAPO HAPO UNATAKIWA:- 53. Uwe Fundi kitandani.
54. Uwe unamtoa outing.
55. Uwe unampa pesa za kutosha.
56. Usimsumbue sumbue.
57. Usiangalie wanawake wengine.

HALAFU KUNA:- 58. Kumnunulia vizawadi zawadi hapa na pale.
59. Kumsifia alivyoumbika.
60. Kumsifia alivyopendeza.
61. Kumfungulia mlango, kumshikia pochi.

PIA USISAHAU:- 62. Siku yake ya kuzaliwa.
63. Kumbukumbu ya ndoa.
64. Siku ya valentine.

MUHIMU SANA, KUWA MAKINI:- 65. Jifunze kutoulizia chenji ukimpa pesa ya shopping.
66. Usipende kubishana katika kila kitu

Duh shikamoo wanawake ee

[HASHTAG]#hapa[/HASHTAG] kazi tu#
Hahaaahahaa..!!
 
Huyo Wiliiam Golding hajawahi kudumu na mwanamke hata mara moja...

Maisha yake yote alikuwa mpweke tu na kudanda hapa na pale...


No one can understand a woman and be good to her all times...women undergo mensuration cycle every months its their nature to be act they way they do...
Nope! we undergo menstrual cycle kama mimba haijaingia pale yai linapoharibika baada ya kutorutubishwa!
 
Wanawake mtaanzisha nyuzi nyingi za kuwafariji lakini ukweli utabaki pale pale km huna sifa za kuolewa ...utachezewa tuu na kuachwa....
 
Back
Top Bottom