Here is Ubungo Interchange - the best interchange in Africa that has been launched 100 times.

NairobiWalker

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2012
Posts
14,267
Reaction score
14,890
😀😀😀😀😀😀😀

img_20190302_075153_234-jpg.1035738
 
Mbona hii ubungo yako iko na miti mingi na Majengo scattered?
Au wamebomoa na kupanda miti[emoji44][emoji44]

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu iyo ni 3d pic lkn pia we mkuu inaonekana dar mgeni uenyeji wako ni wakupita barabaran tu ndo janja yako taarifa nakupa umezibwa na majengo mkuu kwa ndani kuna misitu mingi ivi wajua msewe chuo mwenge nyuma kuna pori kubwa mpk chatu nguruwe pori wapo lkn unaweza kuzunguka toka kimara kwenda mwenge mbezi beach goba mbezi shamba ukarudi kimara na usijue kama umezunguka msitu mkubwa tu ndani yake

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Teh teh teh tihiii
Haya kwa wewe mwenyeji wa Dar, nioneshe kituo cha mafuta kilichomo karibu na TBS na pia mkabala na mitambo ya symbion.
 
Lengo la picha ni kuonyesha barabara itavyokua mradi ukiisha, hayo mengine ni aesthetics (urembo)
 
Sikia SASA nikuambie, hiyo picha ya barabara imewekwa kwenye eneo ambalo si Ubungo. Ukiangalia hiyo picha na current satellite imagery ni vitu viwili tofauti kabisa. Jaribu ku navigate eneo la Ubungo halafu ujionee mwenyewe JINSI hali ilivyo.
 
Wonders shall never end. Vile tulikuwa tumeambiwa tutahama humu sababu ya hiki kiflyover

Ahaaa haaa haaa
Hapo siyo Ubungo. Kama huamini ingia kwenye Google Earth halafu uka navigate, I think you gonna feel the moody on the ground.
 
Back
Top Bottom