Here is Ubungo Interchange - the best interchange in Africa that has been launched 100 times.

Here is Ubungo Interchange - the best interchange in Africa that has been launched 100 times.

😀😀😀😀😀😀😀

img_20190302_075153_234-jpg.1035738
Taahira la Kibera
 
Hiyo picha ukiangalia bila hasira ni Ubungo hapo. Na ukiangalia kinachoendelea pale kwasasa inawezekana kabisaa ikawa wamebadili gia angani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni picha ya satellite mradi huu ni nchin Taiwan na sio Tanzania tafuta picha halis ya mradi wetu n

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo picha ni ya kuchora ila ni Ubungo hapo, kuna mito yote miwili, kuna stand ya Ubungo, kuna jengo la ubungo plaza, kuna daraja la kuvukia watu kuingia stand na stand yenyewe.

Uhalisia kuwa mradi utakuwa hivyo ndio bado hatuna ila kwa sehemu hapo ni Ubungo

Kuna system inaitwa QGIS ambayo hutumika ku manipulate imagery. Ukitaka uone uongo wao angalia kituo cha mabasi cha Ubungo, pia kituo cha mafuta cha makutano ya barabara ya Sam Nujoma na Morogoro. Pia nenda Google Earth ku navigate eneo la Ubungo, utapata MAJIBU.
 
Nilitaka kushangaa mtu akitokea Mandela kwenda Morogoro inakuwaje...nimepigwa na Butwaa!!!
 
Back
Top Bottom