Montserrat
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 10,938
- 14,745
Taahira la Kibera😀😀😀😀😀😀😀
![]()
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taahira la Kibera😀😀😀😀😀😀😀
![]()
Huyu jamaa sijui katoka mikoani? Anapost vitu asivyovijua kwa watu wenye upeo mbali sana na yeye! Karudi kijijini au shule;
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni picha ya satellite mradi huu ni nchin Taiwan na sio Tanzania tafuta picha halis ya mradi wetu n😀😀😀😀😀😀😀
![]()
Hiyo picha ni ya kuchora ila ni Ubungo hapo, kuna mito yote miwili, kuna stand ya Ubungo, kuna jengo la ubungo plaza, kuna daraja la kuvukia watu kuingia stand na stand yenyewe.Hii ni picha ya satellite mradi huu ni nchin Taiwan na sio Tanzania tafuta picha halis ya mradi wetu n
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo picha ni ya kuchora ila ni Ubungo hapo, kuna mito yote miwili, kuna stand ya Ubungo, kuna jengo la ubungo plaza, kuna daraja la kuvukia watu kuingia stand na stand yenyewe.
Uhalisia kuwa mradi utakuwa hivyo ndio bado hatuna ila kwa sehemu hapo ni Ubungo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kama flyover mbili zitajengwa ..wanaotokea kimara kwenda posta watapita kwenye flyover ya chini..na wanaotokea mwenge kwenda bandari ..watapita ya juu yakeDuh! sasa ile tuliyokuwa tunaambiwa itakuwa na "ghorofa tatu" mbona siioni!!
Sent using Jamii Forums mobile app