mwanaume anayevaa kihereni hata simuelewi,hakuna cha utamaduni wala nini,hereni za masai na wamangati zinaeleweka na zinakubalika lkn ni tofauti ni hizi wanazovaa makaka zetu wakimjini.<br />
mbali na hereni,mwanaume anayevaa mipete mingi,anayesuka nywele,anayefuga afro,anayeweka wave,huwa simuelewi.<br />
kuna wakaka wanapaka wanja kwa mbali na lipgloss,kuna mmoja sasa hivi ameoa aliniombaga rangi yangu ya kucha zile colorless zile zenye rangi kama ya maji zenye kungarisha kucha,nikampa nikidhani anatania duuh sikuamin jamaa ikajipaka kweli, nilishangaa.<br />
wakaka mkizidisha ubitozi wakijiremba mkibashiwa msilalamike.