Atubu na aombe msamaha hadharani kwa zile kauli zake! Kinyume na hivyo ataendelea kutambulika kama muuaji tu!Sidhani kama atatumia Sabaya style. Tutegemee mazuri sana kutoka kwa Heri James
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atubu na aombe msamaha hadharani kwa zile kauli zake! Kinyume na hivyo ataendelea kutambulika kama muuaji tu!Sidhani kama atatumia Sabaya style. Tutegemee mazuri sana kutoka kwa Heri James
Sasa hivi ndiyo kapewa jeshi la polisi la wilaya ashindwe mwenyewe tu kutekeleza mipango yake ya kudunga sindano.We nawe ovyo kabisa. Uta mmiss vipi mtu alokua anatangaza hadharani kuua raia wengine kwa sumu
Kukusudia kuua binadamu mwenzako ni kosa la ujana na ni mapungufu ya kibinadamu ehe?Ilikuwa ni lazima upishe urekebishaji wa chama kwa mwenyekiti mpya wa CCM na hiyo ni kawaida sana kwa kila REGIME kupanga safu yake.
Baada ya Bashiru Ally na Humphrey Polepole wing ya vijana kwa maana ndani ya CCM ilikuwa lazima iguswe kama ulikuwa bado hujajianda basi ulikuwa bado mchanga sana wa siasa.
Taifa hili linakutegea sana kuwahudumia wananchi wa Ubungo kama DC wao. Kama kuna makosa uliyoyafanya ilikuwa kwa sababu ya ujana wako na nimapungufu ya kibinadam na endelea mbele.
Kwa kadri ya uwezo wako umeifanyia mengi sana UVCCM na endelea kutoa mchango wako ka chama na UVCCM pale utakapo ona kuna haja ya kufanya hivyo. WE SHALL MISS YOU COMRADE
Ana commanding power ambayo wengine hawajaliwa kuipata. Kumbe unamwelea vizuri sana na weweHongera kwako Kheri James kwa teuzi hiyo ambayo inakuongezea cv ktk talanta za utawala na uongozi
Nimefatilia mijadala kadhaa uliyoshiriki naamini ww ni mmoja ya wanasiasa mahiri sana ktk kujenga hoja na ukaeleweka vyema, uwezo wa kiushawishi na pía unajipambanua kwamba ht wenzio walikuwa sahihi sana kukuchagua uwe Chairman UVCCM
Nenda kawatumikie wanaUbungo na ukawe chachu maendeleo kwao
All the best
Unajua ni kwa nini mtu anapotaka kupewa uongozi historia yake ya nyuma inaangaliwa? Unajua ni kwa nini watu hawawezi tuachane na historia yake ya nyuma kwani anaweza kubadilika na kuwa bonge la kiongozi? Mwisho nikuambie huyu jamaa yako hajabadilika chochote ila aliyekuwa anampa kiburi hayupo tena. Magufuli angekuwepo mpaka sasa ungekuta pengine ameshaua mtu kwa sababu yeye mawazo yake ni kuua wale anaotofautiana nao. Kumbuka motto yake ni hii: ''sisi ndiyo tunaamua maendeleo tupeleke wapi na tusipeleke wapi. Tukitaka tunapeleka, tukitaka hatupeleki na cha kutufanya hamna.''Mambo hubadilika sana kiongozi, unaweza kuta akawa bonge la kiongozi akawa role modal kwa wenzie. Muda huwa ni mwalimu mzuri sana. Tusubiri kwanza afanye kazi baada ya hapo tutampima
Zile zilikuwa kauli za kisiasa na ujana zaidi. As time goes on the man is becoming mature enough to handle his tongue properlyUnajua ni kwa nini mtu anapotaka kupewa uongozi historia yake ya nyuma inaangaliwa? Unajua ni kwa nini watu hawawezi tuachane na historia yake ya nyuma kwani anaweza kubadilika na kuwa bonge la kiongozi? Mwisho nikuambie huyu jamaa yako hajabadilika chochote ila aliyekuwa anampa kiburi hayupo tena. Magufuli angekuwepo mpaka sasa ungekuta pengine ameshaua mtu kwa sababu yeye mawazo yake ni kuua wale anaotofautiana nao. Kumbuka motto yake ni hii: ''sisi ndiyo tunaamua maendeleo tupeleke wapi na tusipeleke wapi. Tukitaka tunapeleka, tukitaka hatupeleki na cha kutufanya hamna.''
Tundu Lissu alijeruhiwa na kauli za kisiasa za ujana? Alipokuwa anasema safari hii hatukosei tena tunammaliza alikuwa ana maana gani? Nenda kwadanganye wajinga wenzako ndugu yangu. Kuna vijana wangapi dunia hii ni wanasiasa mbona hawatoi kauli za kijinga namna hiyo?Zile zilikuwa kauli za kisiasa na ujana zaidi. As time goes on the man is becoming mature enough to handle his tongue properly
Anaitwa nani?Nimeona hadi katibu wa uvccm taifa nae wamemtoa kwenye chama na kumpa udc
In short Mama ameipasua UvccmNimeona hadi katibu wa uvccm taifa nae wamemtoa kwenye chama na kumpa udc
Anaitwa Mwl. Raymond Mangwala. Anaenda kuwa DC ngorongoroAnaitwa nani?