Salaam kwenu nyote wana JF..
Natumaini mpo bukhery wa afya na poleni na mishughuliko hasa katika kipindi hiki cha pilika pilika za mwisho wa mwaka.
Najua kila mmoja Kwa namna yake amepitia changamoto mbalimbali katika kipindi cha mwaka huu na ni Jambo la kushukuru Mungu bado uhai upo japo wapo tuliokua nao lakini wameshatangulia katika Safari ambayo nasi tupo katika foleni. kikubwa ni kuwaombea pia.
Mimi kama mfalme wa GOGURYEO nichukue fursa hii kuwatakia mapumziko mema ya kuumaliza mwaka na niwatakie mafanikio, heri na baraka katika mwaka 2021 ukawe mwaka wa matumaini mapya, nguvu mpya na ari katika maendeleo yako, familia ,jamii na taifa kiujumla.
shukran za kipekee Kwa wale wote tulokua pamoja Kwa mwaka huu na tuloshirikiana Kwa namna moja ama nyingine katika kulisongesha gurudumu la maendeleo. Mwenyezi Mungu awazidishie pale mlipotoa mchango wenu, awape zaidi ya kile mlichokitoa, aziponye nafsi zenu kutokana na maradhi, maswahibu mbalimbali. Pia awakinge na mabaya yote yenye kupangwa kukufika.
kila la heri kwenu nyote....🙏
NB: mtag/ watag member unaemtakia/unaowatakia kila lenye heri, mafanikio na baraka tele Kwa mwaka wa 2021.