Heri Ungelikuwa Kikojozi

Heri Ungelikuwa Kikojozi

Sikonge

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2008
Posts
11,584
Reaction score
6,136
Kijana mmoja mwenye macho makubwa alikuwa na msihana wake. Siku moja akaulizwa na KIDENISHI wake sababu gani ilimfanya awe na macho makubwa namna hiyo. Kijana akafikiri kwa haraka haraka akaja na jibu " Unajua mie wakati ni mdogo nilikuwa ninalia sana, sasa hii ilipelekea macho kuwa makubwa." Yule dada akamwangalia kwa huzuni na nikusema " Too bad. Heri utotoni ungelikuwa UNAKOJOA SANA."
 
hahahahaha!sasa angekuwa anakojoa sana angekuwa na nini kubwa?
 
Alipita mmoja kavaa vizuri si kawaida. Akaulizwa wenda wapi? Akajibu harusini.
Muda si muda karudi. Akaulizwa VP? Akajibu " Nakwenda badili nguo. Nilifikiri najamba kumbe nyaa."
 
Huyo kidosho nadhani siku hiyo ndo ilikuwa mwisho!!!!!!!
 
Back
Top Bottom