Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Papa kama papa. Umetishaaa 🤠
Papa mkubwa anaitwa papa, papa mdogo ataitwaje?Papa kama papa. Umetishaaa 🤠
Mbona inawezekana kabisa Mkuu. Umri sio maarifa, ila matukio ndio maarifa. Kuna watu wana miaka 60 wametoka kustaafu utumishi wanataka kuingia kwenye biashara ya mazao mfano, hapo wakikutana na kijana wa miaka 25 anayeifanya hiyo biashara tangu akiwa na miaka 20 vipi wasimuombe ushauri? Au hao wazee wa miaka 60 kwavile ni wakubwa kuliko huyo kijana wa miaka 25 watakuwa wanaifahamu biashara ya mazao kuliko huyo kijana?.Hii ndio yale yale ya kijana wa miaka 30 anamshauri mtu wa miaka 50 namna ya kukabiliana na changamoto za biashara.
Huendi mbinguni smart 😊Papa mkubwa anaitwa papa, papa mdogo ataitwaje?