Mbona inawezekana kabisa Mkuu. Umri sio maarifa, ila matukio ndio maarifa. Kuna watu wana miaka 60 wametoka kustaafu utumishi wanataka kuingia kwenye biashara ya mazao mfano, hapo wakikutana na kijana wa miaka 25 anayeifanya hiyo biashara tangu akiwa na miaka 20 vipi wasimuombe ushauri? Au hao wazee wa miaka 60 kwavile ni wakubwa kuliko huyo kijana wa miaka 25 watakuwa wanaifahamu biashara ya mazao kuliko huyo kijana?.