Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,564
- 8,810
Vyema sana, kesho ni siku ya kufurahi na ndugu jamaa na marafiki.Dah! Ngoja ninyooshe Kanzu yangu safi, kesho ni kwenda kwa jamaa zangu, mmoja baada ya mwingine. π
Karibu sanaπππDah! Ngoja ninyooshe Kanzu yangu safi, kesho ni kwenda kwa jamaa zangu, mmoja baada ya mwingine. π
Ndiyo, Kesho Eid.Naomba niulize tu, Kesho Eid?
Eid Mubarak....Ndugu zetu katika Imani sio wachoyo wachoyo simu ziite. Eid Mubarak
Eid ipi? ya bakwata au ya answari suna?Ndiyo, Kesho Eid.
Sawa sawa mkuu...nilikuwa naangaza angaza kuona kama kuna habari yoyote mitandaoni kutoka mamlaka zetu, naona bado wako kimya.Ndiyo, Kesho Eid.
Asante.Eid Mubarak....
Hakika si wachoyo na Simu zitaita.
Ndugu zetu katika Imani sio wachoyo wachoyo simu ziite. Eid Mubarak
mi mwenyewe sijui kama kesho ni idi, ndo nashangaa kuambiwa kuwa kesho ni idi!Naomba niulize tu, Kesho Eid?