Mods futa huu utopolo hauna tija.Jamani ni jambo jema kumshukuru Mungu muumba mbingu na nchi kwa kutulinda tangu mwaka huu ulipoooanza na hatimaye tunakaribia kuumaliza.
Nipende tu kusema ya kwamba na watakia heri na baraka katika sikukuu hiii ya Krismas,
Mungu awabariki msheherekeee kwa amani
π€π€π€π€Hujapiga vyombo huko kwenye mkeshaπ π πNdio natoka mkesha wa Christmas, club muda huu, napita kabisa St Peter kusali kisha hm
Merry Christmas Sana JF
Hahahaha, vyombo muhimu ,[emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666]Hujapiga vyombo huko kwenye mkesha[emoji28][emoji28][emoji28]
Naomba uniombee
I knew tuπ π πHahahaha, vyombo muhimu ,
Usijari nawaombea wote nyie mlio wakosefu
HahahahaI knew tu[emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji16][emoji16]muone eti nyie wakosefu.
Sawa malaika Gabriel [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]