Heri ya Krismas wana JF woteeee

Heri ya Krismas wana JF woteeee

Jamani ni jambo jema kumshukuru Mungu muumba mbingu na nchi kwa kutulinda tangu mwaka huu ulipoooanza na hatimaye tunakaribia kuumaliza.

Nipende tu kusema ya kwamba na watakia heri na baraka katika sikukuu hiii ya Krismas,

Mungu awabariki msheherekeee kwa amani
Mods futa huu utopolo hauna tija.
 
Ndio natoka mkesha wa Christmas, club muda huu, napita kabisa St Peter kusali kisha hm

Merry Christmas Sana JF
 
Back
Top Bottom