kheee thank you................. mara paaap nimekumbukwa upande huu maneno haya yatanifanya nitabasamu siku nzima thanx soo very much love huhuu nimefurahi sana hapa natingisha tu kichwaKipenzi Mulhat Mpunga,
Siku zimesogea siku hizi wanaita siku zamwendokasi na hatimaye leo umetimiza miaka …….katika uso wa dunia hii. Hakika najivunia kupata mpenzi aliyetulia, hongera kwa wako wazazi kwa kunizalia kipenzi, zawadi yangu toka kwangu ni ahadi ya kulienzi lako penzi.
Uko na tabia za kupendeza roho
Tabasamu ya kupapasa macho
Sauti yako nikiiskia pia natulia yanipunguzia hasira nazo
Urembo wako ulininasa roho
Siku ya kwanza kukuona kwa macho
Sa moyoni umekwamia siwezi kutania njoo unipunguzie mawazo
And I feel you in my air when I breath
I see you in my dreams when I sleep
You are the one I have been waiting for all my life
Deep down my heart I believe
Unanifeel, nakufeel, hii ni real
The one I have been waiting for all my life
Happy Birthday mpenzi. Nakupenda sana and I can't wait to see you tonight.
thank you the elephantHappy Birthday Mulhat Mpunga
Happy Birthday to you Mulhat Mpunga
...teh hee hee
..#Tuko_Wangapi?
.HBD msambwanda gal![/QUOT
hongera zako miaka 900 itakupendeza zidi
ngoja nishangilie kihenga...................
ikifika buku itafurahisha santehongera zako miaka 900 itakupendeza zidi
santeeeer mdogo wa mie leo mwanya woote nje haha japo nahisi mod watanilamba ban mda wowote kuna mwanadamu nimemtolea uvivu humuHeri ya kuzaliwa dada ake. Mwenyezi Mungu akupe kila la kheri katika maisha yako ya kila siku.
thank you mkuu barikiwaHappy Birthday
😉Happy birthday tu yuuuu!
twinkle twinkle litle star.
Baishu ailavyu bebii
Hahaaaa. Inabidi hapo Dada wakuangalie kwa jicho la huruma jamaani angalau mpaka baadae kidogo.santeeeer mdogo wa mie leo mwanya woote nje haha japo nahisi mod watanilamba ban mda wowote kuna mwanadamu nimemtolea uvivu humu