Heri ya kumbukumbu ya kuzaliwa Mulhat

Ni Hiviiii......
Unaanza kufikia umri wa kunanihii.....wa kuzeeka, nilikuwa nimesahau.
Babu mtiifu anakutakia kumbukumbu nzuri ya siku ya kuzaliwa.

Uwakumbuke pia wazazi wako siku waliyoamua kukupata wewe........sema AMEN
Hata kama ilikuwa bahati mbaya....Nabii TITO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…