Heri ya kuzaliwa Mbwana Sammata ''Popa''

Ethos

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2015
Posts
2,294
Reaction score
2,083
Wadau wa Michezo Leo Ni siku ya kuzaliwa Kwa nyota ya Tanzania, mtoto wa Mama Tanzania ambaye anakimbiza Wazungu..


Binafsi, namhusudu sana SamaGoal na Mungu azidi kumlinda na Kumuongoza uenda tukapata wakiwa Sammata kumi huko mbeleni...

Kama wadau wa Michezo wa JF naomba tumtakie birthday njema na ushauri kama unao.. Naamini atapata tu

Samatta hakikisha Leo Umeweka Muziki


Happy Birthday Popa

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…