Heri ya kuzaliwa Miss Renee

Carleen njoo umtakie wifi ako heri ya kuzaliwa
Depal
Wooooooooozaaaaaah'....!!
Maqhaba kama maqhaba, walaqhi' mdogo wangu umeshikwa ukashikika..!

Miss Renee mie kama dada mkubwa wa familia ya Glenn napenda kukutakia kila lenye kheri likawe nawe mama, Mungu wa mbinguni azidi kukujazi mibaraka yake, nitunzie mdogo wangu aendelee kuvuta shavu walaqhi'...!!

Happiest birthday wifi,❤️❤️
 
Dadangu kwa masham sham nakuaminia, hasa ukipiga ile kitu yetu inakuwaga WAAH[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…