HBD mzee ruksaWakuu leo Mei 8, ni siku aliyozaliwa Rais wa Awamu ya Pili Mh. Ali Hassan Mwinyi. Mh. Mwinyi alizaliwa Mei 8, 1925, hivyo leo ametimiza miaka 98.
Tunamtakiwa Mzee Mwinyi heri na baraka kwa siku yake ya kuzaliwa.View attachment 2614183
Oya Amadala....Wazuri hawafi.
Happy birthday Babu
Rais Mwinyi: Kazi tulizoshindwa kuzifanya sisi kwa miaka 30 Magufuli kazifanya kwa miaka 3Siyo Shujaa wa Africa tena?