Heri ya Kuzaliwa Rais Ali Hassan Mwinyi 😄

Heri ya Kuzaliwa Rais Ali Hassan Mwinyi 😄

Bila maamuzi yako magumu ya kufata Ushauri wa Benki ya Dunia kuhusu kubadirisha Sera yetu ya mambo ya fedha huenda hadi sasa tungekuwa bado tunalalia Magodoro ya Sufi na Vitanda vya Telemka tukaze 🤔

Mungu aendelee kukupa maisha marefu 🥂
 
.
 

Attachments

  • Screenshot_20230508-172018_Gallery.jpg
    Screenshot_20230508-172018_Gallery.jpg
    59.4 KB · Views: 3
  • Screenshot_20230508-172008_Gallery.jpg
    Screenshot_20230508-172008_Gallery.jpg
    112.6 KB · Views: 3
Hongera sana Babu yetu kwa kuishi miaka mingi hapa duniani ni sherehe kubwa sana sana uendelee kuishi zaidi na zaidi
Wakuu leo Mei 8, ni siku aliyozaliwa Rais wa Awamu ya Pili Mh. Ali Hassan Mwinyi. Mh. Mwinyi alizaliwa Mei 8, 1925, hivyo leo ametimiza miaka 98.

Tunamtakiwa Mzee Mwinyi heri na baraka kwa siku yake ya kuzaliwa.

View attachment 2614183
 
Back
Top Bottom