Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si umeona mpaka sasa anaishiKwa nini tena mkuu?
Wakuu leo Mei 8, ni siku aliyozaliwa Rais wa Awamu ya Pili Mh. Ali Hassan Mwinyi. Mh. Mwinyi alizaliwa Mei 8, 1925, hivyo leo ametimiza miaka 98.
Tunamtakiwa Mzee Mwinyi heri na baraka kwa siku yake ya kuzaliwa.
View attachment 2614183
Kama?Rais Mwinyi: Kazi tulizoshindwa kuzifanya sisi kwa miaka 30 Magufuli kazifanya kwa miaka 3
Shujaa 😂😂😂