Heri ya Lyatonga Mrema ana uzalendo kuliko Mbowe na Zitto

Heri ya Lyatonga Mrema ana uzalendo kuliko Mbowe na Zitto

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Wana njaa sana na wao pesa mbele.

Wapo tayari kuuza watu kisa pesa tu.

Ni mamluki wa CCM ambao hawana uchungu na taifa lao. Wapo kwa ajili ya matumbo yao.

Bora Mrema anapinga ufisadi kwa dhati
 
Wana njaa sana na wao peaa mbele.

Wapo tayari kuuza watu kisa pesa tu.

Ni mamluki wa CCM ambao hawana uchungu na taifa lao. Wapo kwa ajili ya matumbo yao.

Bora Mrema anapinga ufisadi kwa dhati
Mtazamo wako
 
Kwanza Chadema haifi kila siku isipokuwa inauliwa kila siku, na kwa taarifa yako Chadema ingekuwa lege lege ingeshakufa zamani kwa inavyopelekewa moto na wakubwa. Unajua chama kuchangiwa na Bunge, serekali, chama dola, mahakama, Polisi, Tume ya uchaguzi na uongozi wa juu lakini bado kinapata wanachama na kina survive sio kitu rahisi sana jomba, wapeni salute Chadema.

Alafu Lyatonga sio kundi la kina Mbowe, huyo ni kundi la kina Chongolo. Usiwalinganishe
 
Usituletee stress zako za maisha hapa jukwaani!
 
Yericko Na Hekaya Zake Alitaka Kumzika Zitto Akisahau Zitto Kakomazwa Na Mbowe.
 
Back
Top Bottom