Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Mtazamo wakoWana njaa sana na wao peaa mbele.
Wapo tayari kuuza watu kisa pesa tu.
Ni mamluki wa CCM ambao hawana uchungu na taifa lao. Wapo kwa ajili ya matumbo yao.
Bora Mrema anapinga ufisadi kwa dhati
Na kingai, mahita, jumanne, nao ni wazalendo wa kuigwa sio lyatonga tu kama asemavyo Muuza KangalaBasi tufanye wazalendo ni Sabaya na Makonda
Bila kumsahau yule aliyemshikia Nape bunduki, naye ni mzalendoNa kingai, mahita, jumanne, nao ni wazalendo wa kuigwa sio lyatonga tu kama asemavyo Muuza Kangala