Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
mkuu kwani katiba ina semaje kuhusu uhuru wa mtu binafsi?, si haki anayo na maamuzi ya kwake.Unampa moyo eeeh
Anaikaribia Pagak/the last Safari huku anasherehekea.
uoga wake tu, ila haki yake ya kikatiba Ina mruhusu kuchagua na kuamua lililo sahihi kwake ikiwa havunji Sheria zilizopo.Kwanza ungemuuliza mbona ameanza na taarabu ya kujitetea kulainisha mada yake
Kama alivyoleta hapa, basi na wadau wanaomahukia jumlajumla wana uhuru wa maoni.mkuu kwani katiba ija semaje kuhusu uhuru wa mtu binafsi?, si haki anayo na maamuzi ya kwake.
sisi hatuoaswi kumpangia kuwa ni vizuri au vibaya, as long as kaamua basi na afanye apendacho
Umejitetea sana π€£π€£...kheri ya mfano wa siku ya kuzaliwa mkuuMsinishangae sana Ile kasumba ya mwanaume kusherehekea birthday ni ushamba sio ya maana kila mtu ana vitu vyake vinavyo mpatia furaha Leo nimeongeza mwaka mmoja naomba mnipigie makofi ππ
una fahamu maana ya uhuru wa maomi na muingiliano wa haki ya kiuchaguzi?Kama alivyoleta hapa, basi na wadau wanaomahukia jumlajumla wana uhuru wa maoni.
we muite tu aje aki chafueπUmesema kama Kiranga π
NikutatueUnataka nikudinye?
Ukisoma uzi wa jamaa ni wazi kawakarisha asiowataka kwa kuwapiga kijembe, bila shaka yupo tayari kwa maoni yoyote juu yake.una fahamu maana ya uhuru wa maomi na muingiliano wa haki ya kiuchaguzi?
Mimi tena π€, just because I refuse to shoot it doesn't mean my gun ain't deadly!Ukisoma uzi wa jamaa ni wazi kawakarisha asiowataka kwa kuwapiga kijembe, bila shaka yupo tayari kwa maoni yoyote juu yake.
Wacha ayapokee mkuu, usimkingie kifua. Utakula shaba aloo
Wangapi hamsherehekei birthday na mnafirw* mkuu π au Niku expose?Wanaume mnaoshabikia birthday mna matatizo sana, sasa habari na mume zimetoka wapi?
Yn mtu Ukishakuwa na tabia za kike dalili mojawapo n h kushabikia birthday, tulia mkuu kama ww n shoga n ww tuu.
ahh Mbaga Jr msi fikie kutukanana wakuu.Wangapi hamsherehekei birthday na mnafirw* mkuu π au Niku expose?
Ni-expose Mkuu Kuna kitu nataka kukumbuka πWangapi hamsherehekei birthday na mnafirw* mkuu π au Niku expose?