Heri ya Mwaka Mpya 2025

Kwa mujibu wa kalenda yangu,mwaka mpya ulianza pale msimu wa mvua ulipoanza kwani nilipanda mimea na mwisho wa mwaka itakuwa kiangazi.Hizo kalenda za kigeni hazinihusu.
 
Na kwako pia Daktari!
 
Na kwako pia mheshimiwa!
 
Ndioo Mama, naona umehimiza suala la FAMILIA KWANZA.

Jinsia ni mbili tu, Me na Ke.

Vitabu vyetu mashuleni viwafundishe watoto Ukweli huo kua Familia ni Baba ,Mama na Watoto ,haiwezekan mwanamke na mwanamke wawe na watoto, au mwanaume na mwanaume wawe na watoto.

UKATILI WA KIJINSIA upigwe vita Kila Kona, in fact iwe ni Vita kama ilivyo vita dhidi ya VVU .

Dira ya Taifa 2050, ijikite pia katika kuwalinda watoto , Hawa watoto wa Sasa, ndio viongozi kuanzia 2050, Sasa tuamue wenyewe tunataka kuongozwa na aina gan ya kizazi?.


I WISH PROSPERITY AND WELL BEING TO EVERY HOME, EVERY FAMILY AND TO OUR BELOVED COUNTRY , WHEN WE ARE STANDING TOGETHER , NOTHING IS IMPOSSIBLE. HAPPY NEW YEAR 2025.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…