Heri ya mwaka mpya wa kiislam (Muharam 1446)

Heri ya mwaka mpya wa kiislam (Muharam 1446)

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Kesho tukijiandaa kupokea mwaka mpya wa Muharam 1446.

Nipende kuchukua nafasi hii kuwatakia wanaJF wenzangu mafanikio makubwa na baraka tele katika mwaka huu mpya.

Ambao hawajapata wenza basi wapate, waliopigwa ban wafunguliwe. Na wenye bodaboda basi wafanikiwe kupata magari.

Kila la kheri wakuu.
 
sijawahi kuona huu mwaka ukiandikwa mahala popote duniani😅😅😅
 
Back
Top Bottom